Bongo Video Vixen, Rapper and Presenter, Gift Stanford aka Gigy Money or Gigy Mahela Is A Year Older Today and She has Just Turned 19... Happy Birthday To Her...
She Wrote To Her Self This"
Namshukuru mungu kwa siku ya leo amekua mwema kwangu kwa kila jambo katika maisha yangu namshukuru sana mama angu nawashukuru watu wenye mioyo safi nikiwa namanisha ukiandika gigy ig hata youtube au google nna watu wanaonipa ushirikiano nna fan pages waliojitolea kwa mioyo yao kunitetea pale wanapoona nakosa hakikasema nawapenda sana team GiGy niwatuambao wanaweza kulifanya ninune nifurah pia nawashukuru fakepage kwa matusi yao kwangu cos bila waonisingekua gigy kunamda mtu anakutukana uku akiwa ajui nini unataka katika maisha yako Napenda kushukuru team nzima ya @choicefmtz na Boss luge unamchango mkubwa katika kipind kifup HAPPY BIRTDAY ✨πΉπΉπΉπΉπΉ✨
πΉ✨✨π✨✨πΉ
πΉππππππΉ
πΉππππππΉ
πΉππππππΉ
πΉHappy birthdayπΉ
✨πΉπΉπΉπΉπΉ✨to RIP DADY
#miminimtotowaafrika16/june "
0 Response to "Gigy Money Has Just Turned 19, Happy Birthday To Her.."
Post a Comment